ALICHOKISEMA KOCHA WA WYDAD
"Hii mechi Itakuwa ngumu sana ,ni mechi ya ugenini dhidi ya mpinzani mgumu,Ni timu kubwa hapa Tanzania na Ina mashabiki wengi.Natarajia atmosphere ya ajabu kutoka kwa mashabiki lakini tunaenda na kufanya vizuri Zaidi Ili tushinde".
Comments
Post a Comment