Posts

ALICHOKISEMA KOCHA WA WYDAD

 "Hii mechi Itakuwa ngumu sana ,ni mechi ya ugenini dhidi ya mpinzani mgumu,Ni timu kubwa hapa Tanzania na Ina mashabiki wengi.Natarajia atmosphere ya ajabu kutoka kwa mashabiki lakini tunaenda na kufanya vizuri Zaidi Ili tushinde".

Kipa wa Rivers united

 Asema kuwa "Tunawasikia YANGA wanavyoongea kuhusu sisi ,tumesikia bulah bulah nyingi ila tunaamini utakuwa mchezo mzuri na wenye ushindani